728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
04 September 2013

Victor John aka Veejay na Album ya "Nimezaliwa Tena" [Audio]


Victor John aka Veejay msanii chipukizi katika muziki wa injili, amebarikiwa kukamilisha album yake ya kwanza na anafurahi kuwatangazia wapendwa katika Bwana Album ya "Nimezaliwa Tena" yenye nyimbo kumi sasa itapatikana kote nchini. Kwa mawasiliano naye Victor John +255 716 941 696 ,
Support Muziki wa Injili,Support Hiphop Gospel kwa kununua kazi halali ili kuwanufaisha wasanii wa Nyumbani.
Victor John aka Veejay na Album ya "Nimezaliwa Tena" [Audio] Reviewed by Nolniz on Wednesday, September 04, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: