HAPPY BIRTHDAY TO ME..!!


Norlens Wales | 3:29 AM |
10th September
Haijalishi ni miaka mingapi tumetimiza iwe ni michache au mingi ila wa kushukuriwa ni yule atupaye pumzi na kutufanya tuendelee kuziona siku mpya katika maisha yetu.
Nimeona nipate kushare nanyi siku hii muhimu kwangu kwa kuwashukuru wote ambao wamehusika katika maisha yangu ambapo kwanza kabisa kwa muumba kwa kunifanya niione tarehe 10 mwezi wa tisa kwa miaka ishirini sasa. Pili mama yake na mimi (Mama yangu) Mrs Wales alafu tatu kwa watu wote wa karibu, marafiki ambao wengi wao sasa ni zaidi ya ndugu, kaka na dada pia walimu na wanafunzi wenzangu katika level zote za elimu nilizopitia kwa mchango wao wote kufikia nilipo.
Sijakusahau pia wewe unaesoma ujumbe huu  uliyeifanya na uliyemfanya Nolniz kuwa Nolniz....
Mbarikiwe sana.

Imetolewa By
Norlens Wales / Nolniz (Admin)
nolniz@yahoo.com
0754773459

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS