Download | WakuBero ft JamboSquad - Mwerevu Siafu [Audio]


Norlens Wales | 12:53 AM |


Wakubero aka Jeshi la Mbung'o wanadrop Bounce jipya kabisa kwa jina "Mwerevu siafu" toka studio za Noizmekah Arusha chini ya Defxtro, humu pia sauti za Maalmando zimesikika vizuri akiwemo Nigga C Pamoja na Ordinaly, Download ngoma HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Wakubero kupitia +255 763 673 340
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS