Download | Marcochali Foundation - Sijalewa Leo [Audio]


Norlens Wales | 12:59 AM |
 


Huu ni wimbo mpya wa MARCO CHALI FOUNDATION unaitwa SIJALEWA LEO,
MARCOCHALI FOUNDATION na ZANTEL imeanzisha EPIC OPEN MIC kwa nia ya kusaidia vipaji vya wasanii wachanga, na mpaka sasa imefanikisha round ya kwanza ambayo ilipata wasanii 28 waliofanya vizuri. Lakini walioimba kwenye wimbo huu(SIJALEWA LEO) ni baadhi ya wale washiriki 28 walipatikana kwenye ROUND YA KWANZA ya EPIC OPEN MIC ambao ni Jackson Michael(VanStar), Amiri(Amiri), Kulea Richard(Kulea), Scovia Derick(Unique), De'Cypha simony(DeCYPHA).
Tunategemea ushirikiano wako
kusaidia vijana hawa kufika sehemu nzuri kimziki.
Asante

PROMO ONLY...

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS