Download | ChokaBoys ft Ordinary & Ruff G - Utainuka [Audio]


Norlens Wales | 2:21 AM |
Wanaitwa ChokaBoys toka Ngaramtoni Arusha, wakiwa ndani ya wimbo "Utainuka" walomshirikisha Ordinary toka Jambo Squad pamoja na mkali wa dancehall, Ruff G ikiwa ni mkono toka Noizmekah Studios kwa Defxtro, Ngoma ni ladha ya Raga tone mahususi zaidi wa kuparty, pata kuliskiza/Kudownload  HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na ChokaBoys kupitia +255 753 842 850
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS