Vatoloco Gangz toka Arachuga wakiendeleza harakati za Mixtape yao, pata ngoma nyingine kwa jina "Stop Following" waloshirikiana na mwanadada Dipper....
Kwa mawasiliano/Mahojiano/Manunuzi ya Tshirts na CD au mengi zaidi check na
Vatoloco Gangz KUPITIA +255 769 010 005 na
Mwanadada Dipper Kupitia +255 765 852 314
No comments: