Download | Danny Love - One Day [Audio]


Norlens Wales | 2:53 AM |


Danny Love  ni  msanii  na  producer ambaye asili  yake  ni Mbeya City  na  anafanya  muziki wa  RNB  na pia  HIP HOP. Wimbo wake huu One Day  ameuproduce  mwenyewe  ndani ya Love  maker  records. Anaomba sapoti yako mdau wa muziki wa bongo yote pamoja na ushauri wako pia. Kwa  mawasiliano na Danny Love mcheki kupitia  +255 769 96 82 58   pia facebook DANIEL MWAKYOMA
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS