Download | Big Daddy Don Ft. Chozi - Ma Life [Audio]


Norlens Wales | 12:00 AM |


Akiwakilisha vyema mkoa wa moshi na pia kundi zima la WestPasu, si mwingine ni rapper BigDaddy Don aka Malai Junior na wimbo  "Ma Life" uliorekodiwa Arusha, katika studio za Noizmekah chini ya Producer Defxtro, ngoma hii ni Hiphop yenye kionjo kidogo cha kuimba kutoka kwa mchizi mkali wa chorus kwa jina la Chozi, pata kuisikiliza/download HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi na Big Daddy Don check naye kwa Simu nambari +255 763 302 950
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS