Download | Beeman ft Wyre - Kizunguzungu [Audio & Video]


Norlens Wales | 12:34 AM | ,

Msanii kutoka LOVECHILD RECORDS Bee Man  Alietamba na wimbo wa EMBE DODO  Sasa atoa wimbo mpya alio mshirikisha BOSS wake WYRE wimbo unaitwa Kizunguzungu, Bee Man ni kichwa kutoka ARUSHA aliyepata nafasi ya kuwa signed na Wyre chini ya label yake ya Love Child, kama bado hujaona video ya Kizunguzungu unaweza kucheck nayo hapa

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS