Msanii wa dancehall AkiliMali aungana na Paradise msanii wa bongo fleva mwenye makazi yake mjini Arusha kuunda "Same Same Girl" ikiwa ni Noizmekah Production mahadhi ya Dancehall, pata kuudownload HAPA na kwa mawasiliano, mahojiano zaidi check na akilimali kupitia +255 767 955 405
No comments: