728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
28 July 2013

Download | G Nako, Mo Plus, Chaba, Chibo, Kala Jeremiah, Da Hustler, Jordan, Ordinally & TDX - Life Goes On [Audio]Baada ya kutoa wazi mapema mwaka huu,nimekua inspired sana kufanya ngoma za namna hii,kuna talent kubwa sana ambayo haifahamiki kwenye industry na binafsi nina mambo mengi ambayo naona yanafumbiwa macho na hii inakua kama platform ya wasanii mbalimbali kukutana,kuexchange ideas na kuongea yale wanayoyaona kwenye jamii,nashukuru sana media zote, sites na blogs kwa support kubwa wanayoitoa kwaajili ya muziki mzuri,nauchukulia huu kama mwanzo mpya na wito kwa wasanii kuona mbali zaidi ya industry ilipofikia sasa.
John B for Grandmaster Records.
 
Download | G Nako, Mo Plus, Chaba, Chibo, Kala Jeremiah, Da Hustler, Jordan, Ordinally & TDX - Life Goes On [Audio] Reviewed by Nolniz on Sunday, July 28, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: