Download | FredLou - On Peak [Audio]


Norlens Wales | 1:14 PM |
Kwa wanaokumbuka ngoma yao TLST Crew "Fanya fasta" ilorekodiwa Kwa Pfunk Bongo Records bila shaka jina Fred Lou sio geni masikioni na Mc huyu Toka Majerui TLST anadrop ngoma yake mpya kabisa toka pande za Noizmekah,Dude linakwenda kwa jina 'ON PEAK" ikiwa ni Hiphop Joint.Pata Kuisikiliza HAPA na endelea kusupport Muziki wa Tanzania
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS