Mapenzi Vita ya Jordan sasa katika caller tune/coming soon wasiwasi ft Belle9 & Ben Paul


Norlens Wales | 12:00 AM |
Sasa unaweza kupata wimbo wa msanii Jordan (Mapenzi Vita) kama caller tune yako kwa kuandika 24600 kama uumbe mfupi na kutuma kwenda 15007,stay tuned kwa wimbo mpya wa Jordan "wasi wasi" akiwashirikisha Ben Paul na Belle 9,nashukuru sana media zote,madj,fans na producer wangu John B kwa kunisupport mpaka hapa nilipo,nina mengi sana kwaajili yenu na nina ahidi sitowaangusha,,asema Jordan,wimbo wa wasiwasi ni kwaajili ya dada zetu wale wasio na imani na wapenzi wao na pia ambao wana imani na wenzi wao..hii ni kwaajili ya kuongeza kuaminiana na upendo wa kweli
Download/sikiliza Mapenzi Vita


John Blass Mallya
For,
    Grandmaster Records, Kaz Studio, Cannibal Shattah & Makini Music
    +255787276352, +255754201643, +255715201643, +254729990851
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com
www.kazstudioarusha.blogspot.com


0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS