Download | PDC - Long Time [Audio]


Norlens Wales | 4:47 AM |


PDC Crew aka Pinda Da Chronics Kundi linaloundwa na LeeShu, Medic, KingNdela na ElevenOne toka pande za Sombetini Arusha Tanzania wanadrop joint mpya "Long Time" liloundwa na Producer Black na mix kufanyika Noizmekah Studio chin ya defxtro, pata kusikiliza HAPA na kwa mawasiliano zaid chek na PDC kupitia +255 714 283 324

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS