Hii ni moja kati ya Interviews zilizofanyika katika media mbalimbali nchini kwenye harakati za kutambulisha wimbo mpya wa Jordan unaoendelea kufanya vizuri nchini,check Jordan akiwa na producer wake John B wakizungumzia wimbo huo pamoja na mambo mengine katika muziki.
No comments: