728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
09 April 2013

Lord Eyez kuja na Mapito Ft. Dammi toka Bongo Rec.




Msanii Lord Eyez toka kundi la N2N lenye makazi yake jijini Arusha hivi karibuni anatarajia kuachia ngoma yake mpya aliyoifanya kwa P Funk Majani (Bongo Records) inayokwenda kwa jina "MAPITO" ndani akiongelea mengi na hasa ishu iliyomkuta akiwa DSM.
Akipiga story na Nolniz Blog, Lord anasema anampango wa kuachia ngoma hiyo Alhamisi ya wiki hii na hivyo kuwataka fans wake wasubirie mzigo huo na kujua ni kipi amewaandalia kwa awamu hii..!!

Stay tune, mzigo utadondoshwa hapa hapa kama ilivyo ada. 
#ONE

Lord Eyez kuja na Mapito Ft. Dammi toka Bongo Rec. Reviewed by Nolniz on Tuesday, April 09, 2013 Rating: 5

[Habari za Wasanii][carousel1]

No comments: