Download | Brand New Single 360 KWA MWAKA-JANB 7 OBI [Audio]


Norlens Wales | 2:26 PM |Mambo vipi wadau,
Hii ndo ngoma yangu mpya inayozungumzia masiha yangu halisi niliyopitia mpaka kufika hapa 360 KWA MWAKA niliyofanya na OBI ELINAMI. Produced by TiNox, recorded at The Mood House Records in Stockholm-Sweden, mixed by Obi Elinami.
DJ's and presenters mzigo ndo huo hapo fanya kuusababisha kwa radio stations. Club djs na blogers pia naombeni sapoti ili maraia waupate all over.
Thanx sana wadau and always enjoy my tunes


CHEERS//JanB

 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS