728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
08 March 2013

Ujumbe toka kwa Dyna Nyange
Naitwa dayna nyange. mwanamuziki wa bongo fleva.
Ni mwanamke wa kitanzania. naungana na wanawake wengine duniani kote ktk kuadhmisha cku ya wanawake duniani.
Nawashauri wanawake wenzangu juu ya kuji2ma kufanya kaz ili kujipatia maendeleo bila kutegemea wanaume. Naamini  wenyewe 2naweza  tena bila hata ya kuwezeshwa.  Nakupitia siku hii muhimu kwetu. naiomba serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhakikisha inapambana vilivyo juu ya unyanyasaji wa kijinsia  tunaoupata wanawake. hasa ubakaji, ukeketaji na  mauaji yanayoendelea zidi  yetu, tunaiomba serikali ihakikishe kwamba wahusika wa matukio kama hayo wanachukuliwa hatua za haraka ili kukomesha maovu hayo. pia nijukumu la kila mwanamke na   Niwajibu wetu kina mama pia na jamii kwa jumla kupambana na majanga haya. tushikamane kujiletea.
Tupendandane tushikamane WANAWAKE TUNAWEZA.  

by Dayna Nyange.

Ujumbe toka kwa Dyna Nyange Reviewed by Nolniz on Friday, March 08, 2013 Rating: 5

Labels:

[News][carousel1]

No comments: