J4C na 'Wanahaso' Video Screenshots


Norlens Wales | 12:36 AM |

J4C yupo chimbo akiandaa Video ya track yake ya "WANAHASO" kama screenshots zinavyoonesha hapo ikiwa ni track alorecord Pande za Fnouk Records kwa Samtimber,
Ikiwa ni kazi ya tatu toka kampuni ya VMG Africa,ya kwanza ikiwa ni "Wish u To Stay" ikafatiwa na "Lullaby ya FBG" endelea kusikiliza & Download kazi ya WANAHASO HAPA wakati video ikikamilishwa foe launch next week...
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS