Brand New HIT | JanB feat Sayen - WAN' ME [Audio]


Norlens Wales | 12:27 AM |Mambo vipi wadau,
Kindly pateni ngoma yangu mpya online version. DJ au Radio presenter yeyote anayehitaji WAVE file version unaweza cheki na mimi nikupatie.
Wimbo unaitwa WAN' ME-JanB feat Sayen. Ni Swahili POP/HOUSE na Ngoma imefanyika The Mood House Records jijini Stockholm chini ya producer Robin.

Natanguliza shukrani kwa sapoti yenu mnayonipa katika kuutangaza mziki wangu kupitia BLOGS,SITE,RADIO na CLUB.

Ngoma hii hapa; Sikiliza na download hapa:
Asanteni sana wadau.

Regards
//JanB
https://twitter.com/intent/user?screen_name=JanBkiwia
http://www.facebook.com/pages/JanB/488977641130002
http://www.janbonline.com/

 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS