Download | Ramadhan Jumanne aka 4R - Kutonipenda [Audio]


Norlens Wales | 12:14 AM |


Msanii chipukizi katika medani ya BongoFleva Ramadhan Jumanne aka 4R toka pande za singida aja na nyimbo yake ya kwanza kabisa aloipa jina "Kutonipenda" ikiwa ni Zouk-rnb alorecodi studio za noizmekah Arusha. anataraji kufanya ngoma nyingine inayokwenda kwa jina "Si ungeniambia" hapo badae lakini kwanza support "Kutonipenda" kwa kubofya DOWNLOAD .
Kwa mawasiliano na mahojiano, matamasha na mengineyo wasiliana na 4R kwa simu +255 766 141 566
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS