728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
14 February 2013

Download | Chalii Mtoto Wa Bibi ft Jordan - Kipendacho Roho [Audio]


Hii ni ngoma mpya toka kwa Chalii Mtoto wa Bibi,mzee wa wakusindikiza kutoka Jambo Squad ambaye kwa sasa atakua anatoa solo projects huku akiendelea kufanya kazi kama kundi(Jambo Squad),ngoma inatokea pande za Grandmaster Records baada ya kimya kirefu cha John B baada ya kurudi kutoka masomoni,
"Huu ni mwanzo tu,tuna mengi sana kwaajili ya industry na fans wa muziki", By John B na Chalii Mtoto wa Bibi Nigga C
 
Download | Chalii Mtoto Wa Bibi ft Jordan - Kipendacho Roho [Audio] Reviewed by Nolniz on Thursday, February 14, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: