Download | Badspenders ft MayC & Keneh - Highway [Audio]


Norlens Wales | 1:11 AM |Wamerudi tena Vijana toka ChugaCity na brand new joint waloipa jina HighWay wakishirikiana vema na Wanadada wawili wakali wa kuimba toka Arusha ,May C wa "RudGals" pamoja na Keneh wa "Miles Away" Pata kusikiliza na kusupport wimbo mpya wa HighWay kwa kubofya HAPA kwa mawasiliano zaidi na Badspenders checki nao kupitia nambari +255 759 737 673 au +255 655 737 673 na nyimbo ya "Wakati" toka Badspenders walioshirikiana na Banx bofya HAPA
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS