728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
14 February 2013

BUM KUBAM OFFICIAL VIDEO | Nikki wa II Ft G Nako [Video]



Ni DK 4 kati ya DK 55 za BUM KUBAM DVD inayoelezea maisha ya Nikki wa pili na muziki anaoufanya. Kuna mengi zaidi ya hii video yanayooneka kwenye BUM KUBAM DVD, kama bado hujapata copy yako, Mawasiliano 0655671550

WAKALA WAKUU:

ARUSHA: Wakala anapatikana SABENA opposite na daladala za Njiro. au Mnara wa mwenge duka la kwanza la nguo( Kwa mchiz soo)

MOSHI; Stend ghorofa ya kwanza (TUMA TECHNOLOGY)

DAR: Kariakoo Aggrey/congo. Kijitonyama shule ya msingi baada ya Kituo cha bajaj(France corner), Born 2 shine Mwenge opposite na TRA, Sinza mori (PLAN B)opposite na kanisa la Worl alive.

BUM KUBAM OFFICIAL VIDEO | Nikki wa II Ft G Nako [Video] Reviewed by Nolniz on Thursday, February 14, 2013 Rating: 5

Labels:

[Video][carousel1]

No comments: