728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
Thursday, January 10, 2013

Download | Gusher - Bado wewe [Audio]


Kutana na Msanii Chipukizi "Gusher" anayekuja na crunk aloita "Bado wewe" ikiwa imewalenga viongozi walopotosha maana nzima ya uongozi bora nchini, Kijana Gusher toka panda za kaskazini mwa Tanzania amerekodi pini pande za noizmekah,ni mwenye juhudi na malengo makubwa katika kuonyesha kipaji chake anaomba support yenu mashabiki na wadau kwa ujumla, kupata kuisikiliza nyimbo hii ya "BADO WEWE" bofya hapo chini..
Kwa mahojiano na info zaidi cheki na Gusher kupitia 0714595068
 
Download | Gusher - Bado wewe [Audio] Reviewed by Norlens Wales on 1:16 AM Rating: 5 Kutana na Msanii Chipukizi "Gusher" anayekuja na crunk aloita "Bado wewe" ikiwa imewalenga viongozi walopotosha maana...

Labels:

Reactions:

[Music][carousel1]

No comments: