728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
21 December 2012

Gangnam style becomes first video to hit 1 billion views on Youtube[Download Video]

Gagnam style video by Korean singer, Psy has hit 1 billion views on youtube. Youtube ndio mtandao mkubwa zaidi wa Video Duniani unaomilikiwa na Google. Gangnam Style ndio video ya kwanza kati ya zote zilizowahi kuwepo youtube kufikisha idadi ya watazamaji bilioni moja kwa muda wa kama miezi sita tuu!! Video hii iliwekwa katika mtandao wa Youtube July 15 na hatimaye kuvunja Record iliyokuwa ikishikiliwa na Beiber "Baby" ambao ndio wimbo uliokuwa umetazamwa na idadi kubwa zaidi ya watu.
Download the video bellow..!!
  

Gangnam style becomes first video to hit 1 billion views on Youtube[Download Video] Reviewed by Nolniz on Friday, December 21, 2012 Rating: 5 Gagnam style video by Korean singer, Psy has hit 1 billion views on youtube. Youtube ndio mtandao mkubwa zaidi wa Video Duniani unaomilikiw...

Labels:

[Video][carousel1]

No comments: