728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
14 November 2012

DOWNLOAD NEW TRACK | BUIBUI - BORA UNGESEMA (T.M.POWER)

Download wimbo mpya wa Buibui BORA UNGESEMA PRODUCED ndani ya Sharobaro Records
Enjoy...!!


TANZANIA MUSIC P0WER ni Jumuia mpya ya kiharakati iliyoingia rasmi katika kuokoa kizazi cha mziki wa bongo fleva Tanzania,kwamara ya kwanza imeingia makubaliano na msanii wa bongo fleva Frenk Lewis Katende Kivunike anayefahamika kwa jina la BUIBUI. TMP imeingia makubaliano na Buibui baada ya kukiona kipaji chake na juhudi zake katika kufanya kazi ya muziki wa kizazi kipya.

TANZANIA MUSIC POWER the new company with new ideas of serving bongo flavour music, for the first time the company is decided to make agreements with Frank Lewis Katende Kivenike who is also known as BUIBUI.TMP has decided to work with Buibui after recognizing his ability in Bongo flavou.

TANZANIA MUSIC POWER inatambua uwepo wa vyombo vya habari na mchango wao katika tasnia ya muziki,hivyo inawaomba wasanii, wanahabari na wadau wote wa muziki kusaidia katika kuwainua wasanii ambao wamechangia kuuweka muziki wa Tanzania ulipo sasa.

TANZANIA MUSIC POWER recognises the presence of all media houses and their contributions towards bongo flavour music, so is requesting all artists, media house practitioners and all music stakeholders to help out in bringing back the lost talents who had once brought Tanzania music in high level.

Historia ya Buibui ni ndefu sana toka alipo zaliwa mpaka sasa na muda si mrefu TANZANIA MUSIC POWER itatoa kitabu cha maisha ya BUIBUI kuanzia watu aliowahi kushirikiana nao na mpaka kudondoka katika tasnia ya muziki.

BUIBUI has a very long story starting from where he was born up to now and TMP will publish the book concerning his life starting with the people he once worked with and the reason to why he dropped music.
BUIBUI amerudi sasa na T.M.P inatarajia kutambulisha wimbo wake mpya ambao utaanza kurushwa hewani rasmi baada ya kumalizika kwa makubaliano ya mwisho na TMP.

for now Buibui is back and TMP is about to introduce his brand new track which will be officially released after final agreements in TMP.

Hivyo basi tunapenda kuchukua nafasi hii kuomba watanzania wote kumpokea BUIBUI,tunatanguliza shukrani za dhati kwa watanzania wote.
ahsanteni sana.

we would like to take this chance to aask all Tanzanians to welcome him again in music industry and also would lie to say thanks in advance to all Tanzanians.
THANK YOU VERY M
UCH.
DOWNLOAD NEW TRACK | BUIBUI - BORA UNGESEMA (T.M.POWER) Reviewed by Nolniz on Wednesday, November 14, 2012 Rating: 5 Download wimbo mpya wa Buibui BORA UNGESEMA PRODUCED ndani ya Sharobaro Records Enjoy...!! TANZANIA MUSIC  P0WER ni Jumuia mpya ya k...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: