NI Rohno na ujio wa kichwa kipya | Zino Ze Top


Norlens Wales | 5:30 PM |

Ikiwa ni Exlusive entry tena toka Rohn jamaa anakwenda kwa jina la Zino (Ze Top) soon ataachia wimbo wake, Nyimbo inakwenda kwa jina la ndoa nyayo, Kiufupi msanii Zino ze top katika hit yake hiyo aliyoifanya ndani ya studio za Jamz Record, producer ni Freezo amefunguka kwamba hiyo ni special kwa ajili ya wanaojiandaa kuoana, walioana na wenye mapenzi ya dhati. Huo ni utangulizi wa vigongo kibao vikali ambavyo vitafata juu Zino ze top ambaye ni mwimbaji na mtunzi wa R&B, Zouk, na Hip Hop. Nyimbo hii ilikuwa kwa ajili ya harusi ya mshikaji wetu aliongia kwenye hatua nyingine lakini kupitia ushauri wa Fejoh Jizzle, Abdulaz wa Nyeusi, Abdu Zahoro, Nolniz na Chenjeroh waliipa saluti nyimbo hii na wakatamani masikio ya watu wote waiskize pia.
Saluti sana wanaharaki wenzangu wa nyeusi tii!!
By Fejoh Jizzle

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS