728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
03 October 2012

Oprah & Rihanna | Wanawake Hollywood wanaolipwa pesa nyingi zaidi

Oprah Winfrey na Rihanna ndio wanawake (Hollywood's) wanaoongoza kwa kulipa pesa nyingi zaidi.
Kwa mujibu wa mtandao wa FORBES, Oprah Winfrey ndiye   anayeongoza katika list hiyo ya wanawake wanaoongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi mwaka huu (2012). Katika list hiyo Oprah ameshikilia namba moja huku yeye akitengeneza $165 million dollar kwa kipindi cha mwaka mmoja yani kuanzia May 2011 hadi May 2012. Katika nafasi ya pili yupo Britney Spears $58 million. Rihanna hakuachwa mbali na Britney kwani yeye ametengeneza million $53. Namba tatu imeshikiliwa na Taylor Swift $57 million dollar.
Oprah bado anaendelea kushikilia rekodi yake hiyo kutokana na matunda ya Tv show yake.
Katika kipindi hiki ambacho The Oprah Winfrey Show hakipo hewani na kipato kikubwa kinatokana na show hiyo, kunauwezekano mkubwa mwanamama huyo asiwepo tena kwenye namba moja mwakani ya wanawake wanaolipwa pesa nyingi zaidi ndani ya Hollywood. 
©2012 Nolniz Blog™
Oprah & Rihanna | Wanawake Hollywood wanaolipwa pesa nyingi zaidi Reviewed by Nolniz on Wednesday, October 03, 2012 Rating: 5 Oprah Winfrey na Rihanna ndio wanawake (Hollywood's) wanaoongoza kwa kulipa pesa nyingi zaidi. Kwa mujibu wa mtandao wa  FORBES , O...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: