New Track | May C ft JamStory - Ma side


Norlens Wales | 12:28 AM |

Mwanadada May C aliyeimba rudgalz round hii adrop ngoma mpya iitwayo "Ma Side" akimshirikisha Mchiz toka mule mule Aratown Arachuga mzee mzima "JamStory" aliyerap katika track hii, ikiwa ni single ya mahadhi ya rnb,May C aka May Chedda ameweza kubadilika kiuimbaji tokana na beat hii aliyotengeneza Producer/Presenter SkyWizzy pande za DSM na vocal zikiwa zimesmamiwa na Defxtro,"All ma fans nashurkuru kwa ukaribu na support mnayonipa katika kufanya music,Mungu awape baraka tele nizidi kufanya vema katika Game!Watu wetu wa karibu supportb kwa ku-download...
Asante!!!!!
©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS