728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
04 October 2012

Mecca Cheka warudi Arusha toka Nairobi,Kenya

Rizy na Mwirora wanaounda kundi la Mecca Cheka warudi toka Nairobi, Kenya baada ya kushiriki kikamilifu katika Pamoja Kids Concert iliyofanyika Village Market Nairobi siku ya jumapili tarehe 30 September mwaka huu.
"Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama, mwendo wa shuttle kikubwa  kabisa mpaka jiji la Kibaki. Mapokezi mazito toka kwa Sister Kakii ambaye ndiye mwenyeji wetu, mapumziko ya kutosha katika apartments tulizotengewa ready for makamuzi ya hatari for fans wetu wa Nairobi kesho yake.
Tumejifunza mengi,mziki wetu unakubalika kuliko maelezo na Meccacheka tumewakilisha vizuri pande za Kenya. Shukrani tele ziende kwa washabiki zetu all over Arusha kwa kutusupport hadi kutambulika nchi jirani , Familia zetu, Producers wa ngoma zetu na Media house zote Zinazosupport Meccacheka movements. Huu ni mwanzo tu wa safari yetu ya kimuziki, watu wetu pande za Kenya wategemee show nyingine pande za Mombasa mwisho wa Mwaka huu.
Kwa sasa tumerudi fit pande za home tunajipanga kurecord pini mpya kadhaa pande za noizmekah studios.
Unaweza Pata nyimbo zao kwa kuzidownload hapa 

Wimbo "Pole" - Bonyeza link kudowload..


Wimbo "Cheka Ung'atwe" bonyeza kwenye link kudownload..
 
Mecca Cheka warudi Arusha toka Nairobi,Kenya Reviewed by Nolniz on Thursday, October 04, 2012 Rating: 5 Rizy na Mwirora wanaounda kundi la Mecca Cheka warudi toka Nairobi, Kenya baada ya kushiriki kikamilifu katika Pamoja Kids Concert...

Labels:

[News][carousel1]

2 comments: