BUM KUBAM DVD - OFFICIAL TRAILER | BIG PROJECT CHECK IT OUT


Norlens Wales | 2:50 AM |


Ni wimboDVD, inayoungaunisha hisia za mwana hip hop NIKKI WA PILI na msikilizaji katika namna ya mawasiliano ya moja kwa moja, zao la wimbo bum kubam, uzalishaji, simulizi, video, mawazo ya wengine, mitindo huru. story ya wimbo katika vitendo na namna wimbo unavyoishi katika maisha yetu ya kila siku. Ni RAP, Ni Hip Hop, Ni Ukweli mtupu. Hii ni ya kwanza kutokea Tanzania...Itakua mtaani hivi karibuni. Unajua ilikuwaje na ni kwanini ikaandikwa bum kubam?...
BUM KUBAM DVD coming soon! 
 Watch out the trailer.....

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS