728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
11 September 2012

THE ROCKER & AZMA Ft. LAIKKAH, ORENGE & GENERAL MAXIMA - CONNECTION


Download track mpya ya The Rocker & Azma ft Laikkah, Orenge & General Maxima - CONNECTION
kazi ikiwa imefanywa na Tiddy upande wa Audio ndani ya studio za One Love  Fx



©2012 Nolniz Blog™
THE ROCKER & AZMA Ft. LAIKKAH, ORENGE & GENERAL MAXIMA - CONNECTION Reviewed by Nolniz on Tuesday, September 11, 2012 Rating: 5 Download track mpya ya The Rocker & Azma ft Laikkah, Orenge & General Maxima - CONNECTION kazi ikiwa imefanywa na Tiddy upande wa ...

Labels:

[Music][carousel1]

1 comment:


  1. Zaburi 103:8, 11
    BWANA amejaa huruma na neema, haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili. Maana mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, kadiri ileile rehema zake ni kuu kwa Wamchao.

    Zaburi 103:17, 18
    Bali fadhili za BWANA zina Wamchao tangu milele hata milele,...maana, wale walishikao agano lake, na kuyakumbuka maagizo yake ili wayafanye.

    Mika 7:18
    Ni nani aliye Mungu kama wewe, mwenye kusamehe uovu,...kwa maana yeye hufurahia rehema.



    Danieli 11:32
    Lakini watu wamjuao Mungu wao watakuwa hodari, na kutenda mambo makuu.

    Yeremia 9:24
    Bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni BWANA, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema BWANA.

    Yeremia 17:9
    Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?

    Mithali 16:25
    Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; lakini mwisho wake ni njia za mauti.
    1 Samweli 12:15
    Bali msipoisikia sauti ya BWANA, mkiiasi amri ya BWANA, ndipo mkono wa BWANA utakuwa juu yenu.

    Yohana 15:6
    Mtu asipokaa ndani yangu, hutupwa nje kama tawi na kunyauka; watu huyakusanya na kuyatu. pa motoni yakateketea.


    Mithali 2:4, 5
    Ukiutafuta kama fedha, . . . ndipo utakapo . . . pata kumjua Mungu.



    2 Mambo Ya Nyakati 30:9
    Kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye mwenye neema, na mwenye rehema, wala hatawageuzia mbali uso wake, mkimrudia.

    Zaburi 86:5
    Kwa maana Wewe, Bwana, U mwema, umekuwa tayari kusamehe, na mwingi wa fadhili, kwa watu wote wakuitao.

    Yakobo 4:8
    Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi.
    Luka 10:27
    Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote; na jirani yako kama nafsi yako.

    Marko 10:19
    Wazijua amri, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudie uongo, Usi danganye, Waheshimu baba yako na mama yako.

    Warumi 12:2
    Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu.
    MAMBO MUNGU ANAYOCHUKIA — 11

    Mithali 6:16-19
    Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; naam, viko saba vilivyo chukizo kwake. Macho ya kiburi, ulimi wa uongo, na mikono imwagayo damu isiyo na hatia; moyo uwazao mawazo mabaya; miguu iliyo myepesi kukimbilia maovu; shahidi wa uongo asemaye uongo; naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.

    Isaya 61:8
    Maana mimi, BWANA, naipenda hukumu ya haki, nauchukia wivi na uovu.



    visit this web: www.wordproject.org utapata kujua Ukweli na Uzima,
    tusikubali shetani atudanganye ni mwongo, anataka kuwapata watu wengi ili kwenda nao motoni,
    tumchague Mungu na kukaa upande wake,USIFANYE MOYO MGUMU,tumkubali Yesu KRISTO ATUONGOZE NA KUYATAWALA MAISHA YETU
    MISIC YA KIDUNIA INA ASIMILIA KUBWA YA KUMWELEKEA SHETANI NA KUWA MEMBERS WAKE.TUACHANE NA HAYO
    TUMFUATE YESU KRISTO,RAHA NI ZA MUDA TU,ZITAPITA.TUZIDI KUWA NA USHIRIKA KANISANI KTK KUMSIFU MUNGU NA KUWEKA NYIMBO ZA KUMSIFU MUNGU MOYONI MWAKO.
    UKWELI HUU NA UKUWE KWA YESU KRISTO PALIPO NA UZIMA MILELE.
    ASANTE

    ReplyDelete