New Track | Tanch (Chibwa & Tanah) - Summer Time


Norlens Wales | 4:29 PM |

Download Ngoma Mpya Kutoka Kundi la Tanch Linaloundwa na Wasaniii wawili Wakali wa Ragga... Chibwa na Tanah. Production imefanywa ndani ya De Fatality Studios chini ya Mesen Selekta Na Pia Unaweza Ukajiunga Nao kUpitia Ukurasa wa Facebook
https://www.facebook.com/pm.chibwa
https://www.facebook.com/tanah.wanje
Hii Ni ngoma ya Pili ya Kundi Hilo Ambalo Awali walitoa Ngoma Iliyojulikana kama Take It down ambayo ilifanya Vizuri kupitia Vituo vya redio na Tv... Ujio huu mpya waweza jipatia hapa
Download free & Enjoy©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS