728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
04 August 2012

ROMA APATA AJALI MBAYA YA GARI AKIELEKEA MOROGORO





Msanii wa kizazi kipya anayefanya bongo hip hop ROMA, amepata ajali mbaya barabara ya Morogoro akielekea kwenye show yake mchana huu. Roma anasema alikuwa yupo kwenye mwendo wakawaida ndipo tairi la mbele la gari lake lilipopata pancha na ndipo gari likaacha njia na kwenda kugongana uso kwa uso na fuso ambalo lilikuwa upande wa pili na gari lake dogo alilokuwa akiliendesha kurudi lilipotokea.

Roma ameniambia (Choka)  kwa sasa anaelekea Hospital kwa "check up zaidi" ila aliokuwa nao kwenye gari hakuna aliyeumia wote ni wazima.


Sehemu ya mbele la gari

Kioo cha Gari baada ya ajali

Gari baada ya ajali


©2012 Nolniz Blog™
ROMA APATA AJALI MBAYA YA GARI AKIELEKEA MOROGORO Reviewed by Nolniz on Saturday, August 04, 2012 Rating: 5 Msanii wa kizazi kipya anayefanya bongo hip hop ROMA, amepata ajali mbaya barabara ya Morogoro akielekea kwenye show yake mchana huu. R...

[Breaking News][carousel1]

1 comment:

  1. pole sana jembe cha msingi roho bdo ipo hayo machuma au mabati usiwaze yapo tu utaripea jembe kafanye kazi

    ReplyDelete